Na
Juhudi Felix
Karagwe
Chama cha demokrasi na Maendeleo Chadema kimepata pigo kubwa baada ya kuonokewa na katibu wake wa jimbo la Karagwe Bwana Geofrey Nguma aliyefariki dunia leo katika hospitali ya Rufaa iliyoko jijini Mwanza alikokuwa amelazwa kwa kusumbuliwa na ugonjwa wa figo.
Wanakaragwe wote ninaandika habari hii nikiwa na masikitiko mengi toka rohoni mwangu tumepata pigo kubwa kwa kuondokewa na mwanaharakati mpiganaji Geofrey Nguma ambaye alikuwa katibu wa CHADEMA Jimbo la Karagwe amefariki dunia katika hospitali ya Rufaa Bugando jijini Mwanza sijapata kwa kina nini chanzo cha kifo ila taarifa za awali zinadai ni ugonjwa wa figo ila hazijathibitishwa rasmi.
Imeniuma sana hata kama mimi siopmwanachama wa Chadema ila kama mtetezi wa demokrasi na mpenda mabadiliko lazima uumie.Bwana amtangulie katika maisha mpya anayoyaendea kwani wote ndio njia yetu tuombeane amina.
N.B Nikipataundani wa taarifa rasmi nitaweza kuwataarifu kwa kina juu ya mpiganaji huyo aliyetutoka kwa siku ambaye hatuko naye tena.

No comments:
Post a Comment