Wednesday, January 13, 2016

BAADA YA RAIS MAGUFULI NA WAZIRI MKUU KASIMU MAJALIWA KUMJULIA HALI FREDRICK SUMAYE SASA NI ZAMU YA EDWARD LOWASSA.


Waziri  mkuu  mstaafu  wa  serikali  ya  awamu  ya  tatu  Fredrick  Sumaye  aliyelazwa  kwenye  hospitali  ya  Muhimbili  ameendelea  kupokea  ugeni  wa  viongozi  wa  kitaifa  wanaofika  kumjulia  hali  baada  ya  Rais  wa  Jamhuri  ya  Muungano  wa  Tanzania  Dk  John   Pombe  Magufuli  na  baadae  na Waziri  Mkuu  Kassimu   Majaliwa  kumjulia    hali  waziri  huyo sasa  EDWARD LOWASSA  amemtembelea.

No comments:

Post a Comment