Tuesday, January 5, 2016

BOMOABOMOA YAENDELEA JIJINI DAR ES SALAAM LICHA YA WAKAZI WA KINONDONI KUKIMBILIA KORTINI






Bomoabomoa  imeanza  Mtaa wa Sun,Kinondoni  sehemu  kubwa  ya  wananchi wamehama  na  wengine  kuendelea  kutoa  mali  zao.Ikumbukwe  kuwa  Jana  Mahakama  Kuu  Kitengo  cha  Ardhi ilitarajia  Leo  Muda  wa  saa  tano  kutoa  uamuzi  wake  juu  ya  Ombi  la  wakazi  hao  kama  kuna  haja  ya  kufungua  kesi  na  hali  kuendelea ya  kutobomoa  au  la.

No comments:

Post a Comment