Naibu Waziri Tamisemi Suleiman Jaffo
Naibu Waziri Tamisemi Suleiman Jaffo
amemsimamisha kazi kwa muda Mkurugenzi wa manispaa ya Ilemela jijini Mwanza
John Wanga ili kupisha uchunguzi wa uhalali wa fedha zilizotumika kujenga fensi
ya Halmashauri ya Wilaya.
Nafasi yake atakaimu Injinia Jacob Nathaniel hadi uchunguzi utakapo kamilika.
No comments:
Post a Comment