Monday, January 18, 2016

BREAKINGNEWS WANANCHI WA BONDE LA MKWAJUNI KINONDONI WAMEFUNGA BARABARA YA KAWAWA NA KUCHOMA MATAIRI.


Wananchi  wa  bonde  la Mkwajuni  Kinondoni   wamefunga  barabara  ya   Kawawa.

Wanachoma  matairi  na  kujaza  magogo barabarani.

Tahadhari  kwa  watumiaji  wa  barabara  hiyo  kama unatokea  Magomeni   ama  anakwenda  magomeni  kutokea  Kinondoni  asitumie  barabara  ya  Kawawa  (Kwa  wenye  magari)ili  kuepusha  usumbufu  uliopo  kwa  sasa.




No comments:

Post a Comment