HABARI ZA HIVI PUNDE MKURUGENZI MKUU WA MAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE TANZANIA AFARIKI DUNIA AKIWA ANAOGELEA ASUBUHI
Marehemu katika Maisha yake aliwahi kuwa v Katibu Mkuu wa CLUB YA SIMBA alikopewa jina la YELSTIN alikimbizwa hospitali hospital Agakhan lakini wakaambiwa alikuwa alishafariki na mazishi yanatarajiwa kufanyika leo.
No comments:
Post a Comment