HAKUNA KUKAA KWENYE KIYOYOZI KATIKA SERIKALI YA AWAMU YA TANO MKUU WA WILAYA AHIRIKI SHUGHULI YA USAFI
Mkuu wa wilaya ya Ngara Mkoani Kagera Honoratha Chitanda akishiriki kupalilia magugu na Afisa Afya wa wilaya Odhiambo Zacharia katika kituo cha Afya Lukole baada ya jamii kuomba magereza kufanya kazi hiyo.
No comments:
Post a Comment