Tuesday, January 12, 2016

NIMEKUWEKEA BAADHI TU YA PICHA ZA MBUNGE WA CHADEMA AKIWA NCHINI CHINI KWA AJILI YA KUEMEA






Mbunge  wa  Jimbo  la  Arumeru  Mashariki CHADEMA  JOSHUA  NASSARI  akiwa  nchini CHINA kwa ajili  ya  kununua  vitanda  vya  kulaza  wagonjwa  hospitalini  ikiwa  ni  sehemu  ya  kutimiza  wajibu  wake  jimboni  kwake  na  kwa  wananchi  waliomchagua.

Siku  za  hivi  karibuni Mbunge  huyo  alikaririwa  na  baadhi  ya  vyombo  vya  habari  kuwa   hatatumia  gari  la  kifahari  na  badala  yake  pesa  hizo  atazielekeza  kwenye  huduma  za  kijamii.

No comments:

Post a Comment