Wednesday, January 13, 2016

Rais Dr Magufuli amtembelea Mh. Sumaye ambaye amelazwa kwa matibabu katika hospitali ya Muhimbili. ITV TANZANIA ITV TANZANIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli amemtembelea na kumpa pole waziri mkuu mstaafu Mh Fredrick Sumaye ambaye amelazwa kwa ajili ya matibabu katika hospitali ya taifa ya Muhimbili na kuelezea namna alivyofarijika kwa kutembelewa na rais.

No comments:

Post a Comment