UTABIRI WAKO WA MATOKEO KATI YA AZAM VS YANGA LEO NI UPI?JERY MURRO ASEMA WATASHUSHA KIKOSI KIZIMA.
Yanga kupitia kwa msemaji wao Jery Murro amesema watashusha silaha zao zote na kusema kuwa hawakwenda Zanzibar kufanya majaribio na wanaofanya majaribio ni wamchangani.
Je wewe kama mfuatiliaji wa mpira wa Tanzania maoni yako na utabiri wako wa mechi ya leo saa mbili na Robo usiku.
No comments:
Post a Comment