DAILY HOT NEWS
Kwa mawasiliano zaidi tumia felixjuhud@yahoo.com au +255 (0) 756 601 054
Tuesday, September 24, 2013
MISS TANZANIA 2013/2014 KUTOKA MKOANI DODOMA
Redd’s miss T
anzania 2013 mrembo Happiness Enock Watimanywa toka mkoani Dodoma akiwa na washindi wenzake wa shindano la Redd’s miss Tanzania mara baada ya kutangazwa kuwa mshindi kwenye shindano lililofanyika kwenye ukumbi wa Mlimani Cituy jijini Dar Es Salaam,Kulia ni mshindi wa Pili Latifa Mohamed toka kanda ya Temeke na kushoto ni mshindi wa tatu Clara Bayo toka kanda ya Temeke
Mkurugenzi wa masoko wa Tbl Kushilla Thomas akimkabidhi funguo za gari mshindi wa shindano la Red’s miss Tanzania 2013 mrembo Happiness Enock Watimanywa toka mkoani Dodoma mara baaada ya kunyakua tajio hilo na kuwashinda washiriki wenzake 29 toka mikoa mbalimbali ambapo pamoja na gari lakini pia amepata kiasi cha shilingi milioni nane
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment