Wanafunzi wa sekondari wa shule ya wasichana Baramba iliyopo wilayani Ngara wakipandisha bendera ya Jumuia ya Africa Mashariki.
Hao wa ni wanafunzi ni wa shule ya sekondari ya Kaisho iliyopo wilayani Kyerwa ikumbukwe shule nne zimeteuliwa kutoa elimu ya hamasa juu
Wanafunzi wa Bunazi Sekondari iliyopo wilayani Missenyi wakiwa katika picha ya pamoja wakipokea bendera kutoka kwenye jumuia ya Africa mashariki
Wanafunzi wa shule ya sekondari ya Bugene wakipokeaa bendera ya jumuia ya Africa Mashariki
No comments:
Post a Comment