Saturday, January 2, 2016
KALVARIO NA MWANZO WA KILA MWAKA MPYA KWA WAUMINI KUFANYA IBADA PALE.BOFYA KUONA PICHA
Hii ni sehemu ya mlima wa Kayungu B Omukinengo uliopo kijiji cha Kayungu Kata ya Nyakabanga wilaya ya Karagwe mkoa wa Kagera ulisimikwa msalaba desemba 31 mwaka 1999 wakati huo kulikuwepo uvumi kuwa mwaka 2000 ungelikuwa mwisho wa Dunia sasa mlima huo umekuwa kituo cha HIJA jimbo Katoliki la Kayanga na sasa kinaitwa KAYUNGU KALVARIO na HIJA hufanyika Septemba 14 kila mwaka ila kila Desemba 31 Waumini huanzia Ibada hapo ya mkesha wa mwaka mpya.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment