Friday, March 2, 2012

KUMBE MAKUMBUSHO RAHA




Mmoja wa waandishi walioko mkoani Kagera  akifurahia moja ya vifaa vya muziki wa asili kiitwacho  malimba vinavyotengenezwa na kikundi cha BUDAP ambacho ni kikundi cha watu wenye ulemavu wanaofanya kazi zao katika eneo la Nyamkazi ambapo kuna kampuni ya utalii ya KIYOHERA inayojihusisha na utunzaji na utamaduni wa Mkoa wa Kagera.

No comments:

Post a Comment