Aliyekuwa Meya
wa jiji la Dar es
salaam Dk Didas
Masaburi amesalimu amri
na kukubali yaishe
baada ya kuamua
kuifuta kesi ya
uchaguzi ya kupinga
ushindi wa mbunge
wa ubungo SAID
KUBENEA.
Masaburi ambaye
alikuwa mgombea ubunge
jimbo la ubungo
kupitia CCM alifungua
kesi Mahakama kuu
DAR ES SALAAM kupinga ushindi
wa Saidi Kubenea wa
CHADEMA lakini jana
ameifuta kesi hiyo
kupitia kwa wakili
wake Clement Kihoko kwa
madai hana nia tena ya
kuendelea nayo.


No comments:
Post a Comment