Mbunge wa Jimbo la Karagwe Innocent Luga Bashungwa ameanza kuwatembelea kusikiliza kero zinazowakabili na kuona ni jinsi gani atakavyozikabili pamoja na wao.
Jana Desemba 16 alitembelea kata za Bweranyange,Nyabiyonza na Kamagambo kwenye mwambao mwa ziwa Lwakajuju linalounganisha Tanzania na Rwanda na kuwasikiliza wananchi wanaoishi huko.


No comments:
Post a Comment