Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii,Jinsia ,watoto na Wwazee UMMY MWALIMU amefanya ziara ya kushtukiza katika hospitali ya Taifa Muhimbili na kukuta mashine za CT Scan na MRI ni mbovu.
Mkurugenzi wa hospitali ya Muhimbili Lawrence Museru amesema kuwa mashine hizo ziliharibika desemba 13 na huduma zilisimama tangu jana desemba 14 mwaka huu.
Katika ziara hiyo Waziri amekutana na mzee wa miaka 90 ambaye alikuwa amesubilia huduma ya mashine hizo tangu jana.

No comments:
Post a Comment