HABARI ZA HIVI PUNDE KAMANDA SIMON SIRO ATEULIWA KUCHUKUA NAFAS YA KOVA.
Kamanda wa kanda maalumu ya kanda ya DAR ES SALAAM Suleiman Kova anastaafu leo na SIMON SIRO ameteuliwa kuchukua nafasi yake.
Tutakujuza zaidi kitakachoendelea fuatilia kupitia mtandao huu.
kweli kila kitu kina mwanzo na mwisho kama kweli kova kastaafu tuendele kum support uyo aliye teuliwa kumrithiiii kweli tusifanye ualifu wowote ili tulaisishe kazi zake HAPA NI KAZI TUU
ReplyDelete