Sunday, September 15, 2013

OPORESHENI KIMBUNGA IMEWANASA MAJAMBAZI NA SIRAHA HARAMU KADHAA

Operesheni Kimbunga yanasa majambazi 32,mabomu sita, bunduki 22 na risasi 265

 Sehemu za risasi , mabomu na bunduki zilizokamatwa katika operesheni kimbunga inayoendelea

 Mabomu sita risasi 265 zilizokamatwa
 Mitambo ya kutengenezea magabole yalikamatwa katika Mkoa wa Kagera



 Mkuu Msaidizi wa Operesheni Kimbunga, Simon Sirro akiwaonesha waandishi wa habari hawako pichani sare za Jeshi zilizokamatwa katika Operesheni hiyo.
 



Hapa Kamanda Sirro akiwaonesha waandishi namna mitambo hiyo inavyotumika kutengezea  bunduki aina za magobole  ambazo zinauwezo wa kuuwa wanyama  hata binadamu.

No comments:

Post a Comment