FADECO
COMMUNITY RADIO
Plot 281/283 Kagera Street
P. O. Box 223
Karagwe- Kagera Region
http://www.fadeco.org/radio
Tel: 0754 605682
|
|
Date; 4.9.2013
YAH: MWALIKO KUHUDHURIA KUTANO WA WADAU
WANAOSHUGULIKA NA MASUALA YA WATU WENYE ULEMAVU, KAYANGA, KARAGWE TAREHE 16
HADI 17 SEPT 2013
Tafadhali rejea kichwa cha barua hapo juu.
IDARA YA USTAWI WA JAMII, KARAGWE
|
|
Wadau wote wanaotoa huduma kwa watu wenye ulemavu
wilayani Karagwe, kwa ushirikiano na
Idara ya Ustawi wa Jamii (HWK),wanayofuraha kukualika katika mkutano wa siku 2
kuanzia tarehe 16-17 Sept. 2013.
Madhumuni ya
mkutano huu ni)
a) kuweka mikakati ya pamoja ya kuwahudumia watu wenye ulemavu mkoani Kagera,
b) kufahamiana hasa kujua mchango wa kila mdau
c)
kuweka mikakati ya pamoja
ya kuadhimisha siku ya watu wenye ulemavu ambayo huadhimishwa kila tarehe 3.12
ya kila mwaka.
d)
Kubainisha njia za
kudumu na endelevu za kuwasaidia watu wenye ulemavu
Kuhudhuria kwako ni
muhimu kwa maendeleo ya watu wenye
ulemavu.
Tafadhali upokeapo
mwaliko huu toa taarifa ya uthibitisho
wa kuhudhuria kwa ajili ya maandalizi. Kamati
ya mandalizi ya mkutano huu imejitolea kugharimia chakula, vinywaji na ukumbi wa mkutano. Wawezeshaji watatoka BBC
Media Action pamoja na CCBRT. Kila
mshiriki ajigharimie nauli na malazi isipokuwa pale itakapo lazimu.
Juhudi Felix
(Katibu Msaidizi/ Kamati Mandalizi) 0756
601054
No comments:
Post a Comment