Watu wawili wamefariki Dunia na wengine 21 wamejeruhiwa baada basi la LUWINZO lililokuwa linatokea NJOMBE kwenda DAR ES SALAAM kuligonga lori.
Hapa zaidi tutaendelea kukultea zaidi.
Waliofariki katika ajali hiyo wameongezeka na kufikia watu wanne baada ya majeruhi kufariki.
No comments:
Post a Comment