Wananchi wa vijiji vya
Ikengwa,Kinyansi, na Kisondoko wilayani Kondoa mkoani DODOMA
wamelia kwa furaha kwa kitendo cha serikali
iliyopo madarakani baada ya kutatua mgogoro
wa eneo ambalo walikuwa wamelingombania
muda mrefu na watu wa hifadhi muda
mrefu kupatiwa ufumbuzi
hapo ni KAZI TUU kama mhe. anavyo sema tutumie kauli ya mzee ili tukokomeze iyo migogoro yote ata kwenye wilaya nyinginne
ReplyDelete