Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli amemjulia Waziri mkuu Mstaafu wa serikali ya awamu ya Tatu Fredrick Sumaye ambaye anapata matibabu hospitali ya Taifa Muhimbili aliko lazwa.
Katika picha yupo Mama Esther Sumaye kweli amedhihirisha ukomavu wa kisiasa kuongea na kuwajulia hali wapinzani wake kisiasa hiyo ndiyo Tanzania tunayoitaka.
No comments:
Post a Comment