UNAMBIWA ISHU YA ZANZIBAR NI MWIBA KWA CCM,LOWASSA NA VIONGOZI WAKUU WA UKAWA WATETA NA MAALIM SEIF
Waziri mkuu mstaafu wa serikali ya awamu ya NNE EDWARD LOWASSA amekutana na kuongea na Katibu mkuu wa CUF MAALIM SEIF juu ya mustakabali wa mkwamo wa kisiasa ZANZIBAR pamoja na LOWASSA pia viongozi waandamizi wa UKAWA akiwemo James Mbatia nao walikuwa sehemu ya mazungumzo
No comments:
Post a Comment