Thursday, March 22, 2012

HII KARAGWE ISINGIRO

Mji mdogo wa Isingiro kilometa chache kutoka hapo kuelekea mpakani Murongo ambapo ni mpakani mwa Tanzania na Uganda  ni mji ambao ulikubwa na athari za vita vya Kagera mwaka 1978.Una maoni gani kuhusiana na mji huu.

No comments:

Post a Comment