Saturday, March 24, 2012

KUWA NA WIVU WA KUTAMANI KUJIFUNZA

Mara nyingi watu tunakuwa na wivu wa kuoneana wivu usiokuwa na maana katika maisha jambo ambalo huwa mara kadhaa uleta uhasama na mifarakano lakini ukiwa na wivu wa kutamani kujifunza huo ujenga na kuleta maendeleo.

No comments:

Post a Comment