JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA:
Kwa wakazi wa Mkoa wa Iringa matangazo haya yanapatikana katika mbao za matangazo kwenye ofisi za Halmashauri.
Barua zote zitumwe kwa,
OFISI YA WAZIRI MKUU
TAWALA ZA MKOA NA SERIKALI ZA MITAA
HALMASHAURI YA WILAYA YA KILOLO
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo anawatangazia Watanzia wenye sifa za kujaza nafasi za kazi zilizo wazi kama zifuatazo:| NA | KAZI | SIFA ZA MWOMBAJI | MAJUKUMU | NGAZI YA MSHAHARA NA MSHAHARA |
| 1 | AFISA MTENDAJI WA KATA DARAJA LA III (NAFASI (8) |
|
| TGS C= TSHS. 309,800/= - 393,400/= |
| 2 | AFISA MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III (NAFASI 6) |
|
| TGS A/B = TSHS. 165,000/= - 193,700/= au TSHS. 221,600/= - 278,300/= |
| 3 | MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II (NAFASI 1) |
katika mojawapo ya fani za Afya, Masijala Mahakama na ardhi |
| TGS B/C TSHS. 221,600/= - 278,300/= au TSHS. 309,800/= - 393,400/= |
| 4 | KATIBU MAHSUSI III (NAFASI 1) |
na kufaulu mtihani wa Hatua ya Tatu.
Hatimkato ya Kiswahili na kiingereza maneno 80 kwa dakika moja.
kompyuta kutoka chuo chochote kinachotambulika na serikali na kupata cheti katika programu za Windows, Microsoft office, Internent, E- Maili na Bublisher. |
| TGS B = TSHS. 221,600/= - 278,300/= |
| 5 | MSAIDIZI WA OFISI (NAFASI I) |
|
| TGOS A = TSHS. 150,000/= - 211,200/= |
| 6 | DEREVA DARAJA LA II (NAFASI 3) |
|
| TGOS A = TSHS. 150,000/= - 211,200/= |
MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA:
- Barua zote za maombi ziambatanishwe na vivuli vya vyeti halisi vya elimu na taaluma.
- Nakala ya cheti cha kuzaliwa
- Picha mbili (2) passport size za hivi karibuni
- Maelekezo binafsi (Cirriculum Vitae)
- Waombaji wawe na umri kati ya miaka 18 - 40
- Waombaji walio kazini wapitishe maombi yao kwa waajiri wao.
- Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 04/05/2012 saa 9:30 mchana
Kwa wakazi wa Mkoa wa Iringa matangazo haya yanapatikana katika mbao za matangazo kwenye ofisi za Halmashauri.
MKURUGENZI MTENDAJI (w)
HALMASHAURI YA WILAYA YA KILOLO
S.L.P 2324
KILOLO.
HALMASHAURI YA WILAYA YA KILOLO
S.L.P 2324
KILOLO.
No comments:
Post a Comment