Kwa mawasiliano zaidi tumia felixjuhud@yahoo.com au +255 (0) 756 601 054
Tuesday, March 27, 2012
HAPA NI OMUKINENGO KAYUNGU-KARAGWE
Picha By Juhudi Felix
Huo msalaba unaoonekana kwa mbali uliwekwa tarehe 31.12.1999 pale rumbazi za kusema kuwa ifikapo mwaka 2000 ndo mwisho wa dunia uliweka na Kigango cha Kayungu parokia ya Bushangaro sasa ni kituo cha hija cha parokia hiyo.
Kumbukumbu nzuri sana.
ReplyDelete