Wadau wa mkutano saba wa zbc
Wadau wa Mkutano wa Saba (7) wa
Baraza la Biashara ZBC wakiwa katika Mkutano Uliofanyika kwa kujadili
masuala mbali mbali ya kukuza Uchumi wa Taifa ,Mkutano huo ulifanyika
leo katika Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja.
No comments:
Post a Comment