Wajumbe wa baraza saba la biashara
Wajumbe wa Mkutano wa Saba wa Baraza
la Biashara la Zanzibar,kutoka Taasisi na Makampuni mbali mbali
,wakifuatilia kwa makini taarifa na mada zilizotolewa katika mkutano
huo,uliofanyika leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel,Mjini Unguja.
No comments:
Post a Comment