Friday, May 31, 2013

BONANZA LA KIROHO SAFI BUHARE LA PAMBA MOTO.

 PICHA NA:Mwanjerwa

Safari ya Kiroho safi Bonanza inayotarajiwa kufanyika siku ya Jumamosi tarehe 01.6.2013 ilianzia  hapa white  house  ambapo kamati ya bonanza ilikutana kuweka mambo sawa.

No comments:

Post a Comment