Sunday, January 10, 2016

YANGA yaifuata SIMBA yaaga mashindano Mapinduzi Cup 216

Penati ya 5.

●● Munishi anaenda kupiga. . Anapiga penati ya mwisho GOOOOOOOAAAAL.

●● Brian Bwete anaenda kupiga akipata mpira umeisha na URA watatinga fainali. . Anapiga GOOOOOOOOOAAAAAAL

FT.

Yanga 3 - URA 4.

Fainali ni URA vs Mtibwa Sugar.

Poleni wananchi, nakutakia usiku mwema.

No comments:

Post a Comment