BIDHAA ZATEKETEZWA NA TDA KANDA YA KASKAZINI BAADA YA KUGUNDULIKA HAZINA MADHARA KWA BINADAMU.
Mamlaka ya chakula na dawa TFDA kanda ya Kaskazini imewteketeza vipodozi vyenye thamani ya shilingi millioni 34katika mpaka wa TANZANIA na KENYA vipodozi hivyo vyenye viambata vya sumu vilivyotengenezwa nchini DRC Congo
No comments:
Post a Comment