Monday, December 28, 2015

BREAKINGNEWS MSAFARA WA WAZIRI WA NISHATI NA MADINI WAPATA AJALI KIJIJI CHA KIGOROGORO KATA KIBARE.








Msafara  wa  waziri  wa  Nishati  na  Madini  Profesa   Sospeter   Muhongo  umepata  ajali  katika  kijiji  cha  Kigorogoro  kata  ya  Kibare  wilayani  Kyerwa  Mkoani  Kagera  msafara  huo  ulikuwa  ukitokea  mpakani  mwa  Tanzania  na  Uganda  upande   MURONGO  ila  hakuna  majeruhi  aliyeripotiwa  mpaka  sasa.

No comments:

Post a Comment