Monday, December 28, 2015

YANGA YAMTUPIA VIRAGO KIUNGO WAO WA KIMATAIFA HARUNA NIYONZIMA FABRIGAS WA BONGO.




YANGA  imevunja  mkataba  na  mchezaji  wake  wa  kimataifa    kutoka  nchini  RWANDA    Haruna  Niyonzima  na  kumtaka  kiungo  huyo  wa  RWANDA   kuilipa  klabu  hiyo   dola  75000.Hatajiunga  na  klabu  yoyote  ile   mpaka  alipe  fedha  hizo    au  klabu  yake  mpya  implipie.

Sababu  za  kuvunja  mkata  huo  zimeelezwa  na  uongozi  kuwa  ameshindwa  kuripoti  kwa  wakati  kwenye  mazoezi  ya  timu  hiyo  na  kutoshiriki  michezo  kadhaa  za   timu ya  YANGA  za  ligi  kuu  wamesema  walimlipa  Nusu  Mshahara  na  kutakiwa  kujieleza  lakini  alishindwa  kufanya  hivyo  na  fedha  hizo  ni  gharama  za  kumuongezea  mkataba ambao  ulikuwa  umalizike  2017
 

No comments:

Post a Comment