Monday, December 14, 2015

GODBLESS LEMA AIBUKA KIDEDEA KITI CHA UBUNGE ARUSHA.BOFYA HAPA

Walioandikishwa 317814 waliopiga   kura 105,800sawa  na  32.83% kura halali 104,353 kura  zilizoharibika 1447



Matokeo

NAVOI  MOLLEL   ACT Wazalendo  kura  342  sawa  na 0.3%

PHILEMON OLAIS  MOLLEL  CCM kura 35,907 sawa  na 34.4%

GODLESS   JONATHAN  LEMA  CHADEMA kura 68,848 sawa  na  65.9%

ZUBERI MWINYI HAMIS  CUF kura  106 sawa  na 0.1%

MKAMA RASHID  JARALIA  kura  43 sawa na  0.04%


Msimamii  wa  uchaguzi   jimbo  la  Arusha  Mjini  Juma  Idd  amemtakangaza  rasm Lema  kuwa  mshindi  wa  kiti  cha  ubunge  jimbo  hilo.

No comments:

Post a Comment