Tuesday, December 29, 2015
MAWAZIRI HAWAKAI OFISINI WANAPISHANA KWENYE SAFARI DR KIGWANGALA AIBUKIA SOKO KUU BUKOBA BAADA YA MUHONGO KUTOKA JANA KAGERA.
Naibu wa Afya Dr Hamis Kigwangala ametembelea soko kuu la Bukoba kukagua maeneo mbalimbali kujionea hali ya usafi na kufika eneo linalotumiwa na mama lishe ambao wameanza rasmi kazi yao juzi ya kuuza vyakula baada ya kufungiwa kwa kipindi cha miezi miwili kutokana na tishio la ugonjwa wa Kipindupindu ambao ulia watu wawili mkoani Kagera.
Agizo la kufunga shughuli zao hizo lilitolewa na Mkuu wa Mkoa wa Kagera John Mongella.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Afadhari amewasili bukoba akague usafi kama kweli tuendeleee kum ombea apate Baraka na nguvu kutoka kwa mwenyezi MUNGU ili tuweze kupata matunda meema TANZANIA BILA KIPINDUPINDU INAWEZEKANA
ReplyDelete