Tuesday, December 29, 2015

HABARI ZA HIVI PUNDE MAKONTEINA YENYE THAMANI BILLION 47 YAPOTEA BANDARINI SABA WASHIKILIWA NA JESHI LA POLIS.






Ni  ufisadi  mwingine  tena  waitikisa  Bandari  ya  Dar  es  salaam   makonteina  11884 yenye  thamani  ya  shilingi  billion  47.4 yametoweka  katika  bandari  kavu  ya  ICD na  CFS  bila  ya  kulipiwa  tozo  za  Bandari  ya  WHARTFAGE.



Na  Magari  2019  yenye  thamani  ya  shilingi  bilioni  moja   zimetolewa   katika  bandari  ya  nchi  kavu  ya  CFS bila kulipiwa  tozo  ya  Bndari .
Kutokana  na   upotevu  wa    mapato  hayo   waziri  wa  ujenzi  ,  uchukuzi  na  mawasiliano   Profesa    Makame   Mbarawa  amesema  wafanyakazi  7  kati  ya  wafanyakazi  15  wa  TPA  wanashikiliwa  na  jeshi  la  polisi.


Makontena  hayo  ni  tofauti  na  yale  ya  Waziri  Mkuu  Kasimu  Majaliwa.

1 comment:

  1. Hayo makontena hayakupotea bali hao wanajua yalipo na niyanani na pia wanajua namna ya kufuatilia hayo mapato ya serikali ya patikane. Huko serikali kwa utendaji kazi mzuri mnaouonyesha. Sisi wananchi tuko nyuma yenu. - HAPA KAZI TU.

    ReplyDelete