Tuesday, December 29, 2015

MBUNGE WA CHADEMA AGUSWA NA KERO ZA AKINA MAMA WAJASRIAMALI AWATEMBELEA USIKU.

 Mbunge  wa  jimbo  la  Tarime  mjini Mkoani   Mara   Ester    Matiko  CHADEMA  ameanza  kutimiza  moja  ya  ahadi  zake    alizotoa  baada  ya  jana  jioni  kuwatembelea  akina  mama  wajasriamali  wanaofanya   shughuli  zao  majira  kuanzia  saa  moja  usiku  kwenye  mji  wa  Tarime  amesema  anafanya  hivyo  kujua  changamoto  walizonazo  na  jinsi  gani  atakavyozitatua.

No comments:

Post a Comment