Mbunge wa Ubungo Said Kubenea Leo amepandishwa kizimbani katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam na kusomewa shitaka lugha chafu dhid ya mkuu wa wilaya ya Kinondoni Paulo Makonda.Kesi imehairishwa mpaka disemba 29 mwaka huu.
Kubenea alikamatwa na polisi eneo la viwanda EPZA Mabibo kwa Amri ya mkuu wa wilaya ya Kinondoni Paulo Makonda



No comments:
Post a Comment