Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli amekutana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Maalim Seif ambaye pia ni Katibu Mkuu wa chama cha wananchi CUF ambapo ni mazungumzo yalnayohusu mkwamo wa kisiasa Zanziba baada ya mwenyekiti wa tume Jecha Salum Jecha Kufuta uchaguzi





No comments:
Post a Comment