Friday, December 25, 2015

TAMASHA LA KRISMANSI LIMEANZA TAYARI KATIKA UKUMBI WA DIAMOND JUBILEE NAPE MGENI RASM AKIMWAKILISHA MAKAMU WA RAIS.


 
Waliojukwaani  hao    ni  Christina  Shusho ,Sarah K kutoka  Kenya  ,Solomon  Mukubwa  toka DRC   Kongo.



Waziri  wa  Habari ,Utamaduni,Wasanii  na  Michezo  Nape  Nauye  amemwakilisha   Makamu  wa  Rais   Samia  Suluhu  Hassani   katika  tamasha  la  Krismansi   linalofanyika  Ukumbi  wa  Diamond  Jubilee.

No comments:

Post a Comment