Friday, December 25, 2015

BREAKNGNEWS WAZIRI NAPE NNAUYE ATOA KAULI JUU YA KAZI YA UTUMBUAJI MAJIBU YA RAIS DK MAGUFULI




Nchi  yetu  ilifika   pagumu  wezi  walionekana  wajanja   na  waliostaafu  wakiwa    maskini  walionekana  wajinga ,muombeeni  Rais  DK  John  Pombe  Magufuli  atumbue   majipu ili  Watanzania  wafaidi   matunda  ya  nchi  yao.


 Kauli  hiyo ya Waziri  wa  Habari ,Utamaduni,Wasanii  na  Michezo  Nape  Nnauye ameitoa  katika  uzinduzi   wa tamasha  la  Krismansi   linalofanyika  Ukumbi  wa  Diamond  Jubilee. akimemwakilisha   Makamu  wa  Rais   Samia  Suluhu  Hassani.

No comments:

Post a Comment