Wasichana
2118 wamekimbilia kwenye kituo
cha kupinga ukatili
wa kijinsia na
ukeketaji cha Masanga
kinachomilikiwa na na
Kanisa Katoliki jimbo
la Mara wilayani Tarime
kuhofiwa kupelekwa kukeketwa
na wazazi wao.
Baadhi
ya wasichana hao
wamesema licha kukimbilia
kituoni hapo kwa
lengo la kuepuka
kulazimishwa kukeketwa na
familia zao huku
wakipata mafundisho ya
jinsi ya kukabiliana
na utamaduni na
mila potofu wanakabiliwa na
changamoto ya kutopokelewa
na familia zao
hali inayofanya wapoteze
mwelekeo wa masomo
yao kwa wengi
wao ni wanafunzi
wa shule za
msingi,sekondari na vyuo.

No comments:
Post a Comment