Thursday, December 24, 2015

KATIBU TAWALA WA MKOA WA SHINYANGA ATEMBELEA KITUO CHA WATOTO BUHANGIJA.



 
Katibu  Tawala   wa  Mkoa  wa  Shinyanga  Abdul   Dachi   ametembelea  kituo hicho    cha  Buhangija  ili  kuwajulia  hali  watoto  hao  na  kuwapatia  msaada  mbalimbali  ikiwemo  chakula.








Kituo  cha  watoto  wenye  ulemavu  wa ngozi ambacho  kipo  manispaa  ya  Shinyanga  kinachopokea  watoto  kuanzia  umri  wa  mwaka  mmoja   ambao  walipelekwa  na  wazazi  wao   wakihofia  kukatwa  viungo  vyao  vya  Mwili.

No comments:

Post a Comment