Rehema Mbetenyai mmoja wa vijana akitolewa damu na mhudumu
Vijana wilayani RUFIJI wamejitolea damu kwa hiari ili kupunguza tatizo la upatikanaji wa damu kwenye hospitali za wilayani humo.Zoezi hilo limefanyika katika kituo cha afya Kibiti likihusisha makundi mbalimbali ya vijana baada ya kubaini kuwepo kwa tatizo sugu la upatikanaji damu kwa hitaji.
No comments:
Post a Comment