Saturday, January 2, 2016
WATU SITA WADAIWA KUJERUHIWA WAKATI WAKIGOMBANIA NYAMA YA KIBOKO ALIYEUWAWA MTAANI.BOFYA HAPA KUTIZAMA PICHA
Watu zaidi ya sita wanadaiwa kujeruhiwa wakati wakigombania nyama ya Kiboko aliyeuwawa na wananchi baada ya kuingia mtaa wa BOMANI mjini Mugumu wiliyani humo.
Mganga wa zamu wa hospitali teule ya wilaya ya Serengeti Joseph Ogora amethibitisha kumpokea mmoja wa majeruhi hao huku afisa mmoja wa maafisa wanyamapori Cuthbert Boma akidai mnyama huyo anadaiwa kutoka ndani ya hifadhi ya Serengeti.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)








No comments:
Post a Comment