Moja ya tamadunia za wakazi wa karagwe ni kutengeneza pombe za kienyeji zitokanazo na ndizi zilimwazo kwa wingi katika wilaya hii ya Karagwe ni maarufu kutumiwa na wakazi wa Karagwe maana ya upatikanaji wake
Haya watu wote wenyeji na wageni karibu kinywaji cha asili ya Karagwe.
No comments:
Post a Comment