Uteuzi
wa Mawaziri wa
kujaza nafasi zilizokuwa
zimekosa mawaziri.
1-Profesa
Jumanne Maghembe ameteuliwa
kuwa waziri wa
Maliasili na Utalii.
2-Dkt Philip
Mpango ameteuliwa kuwa
waziri wa Fedha
na Mipango (Ni baada ya
kumteua kuwa mbunge)
3-Mhandisi
Gerson Lwenge Ameteuliwa
kuwa waziri wa Maji na
umwagiliaji
4.Dkt
Joyce Ndalichako Ameuteuliwa
kuwa waziri wa
Elimu ,Sayansi Teknolojia na
Ufundi (Ni baada ya
Kumteua kuwa mbunge)
5-Hamad
Masauni Ameteuliwa kuwa Naibu
waziri wa Mambo
ya Ndani ya Nchi.
6.Profesa
Makame Mbarawa Amehamishwa
kutoka wizara ya
Maji na umwagiliaji
na kwenda wizara
ya ujenzi ,uchukuzi na
mawasiliano.
No comments:
Post a Comment