Monday, January 4, 2016

BEI YA MAJI YAPANDA KATIKA MANISPAA YA SHINYANGA MKOANI SHINYANGA.







Mkurugenzi  wa  mamlaka  ya  Maji  SHUWASA Sylvester Mahole  akiwa  ofisi kwake  mjini  Shinyanga  akifafanua  kupandishwa  kwa  gharama  za  ankara  ya  maji  kwenye  Manispaa  ya  Shinyanga.


1 comment:

  1. kwaio watafafanua jee tatizo ili kwasababu if expenses are high watu wata suffer a lot coz maji ni uwai

    ReplyDelete